Monday, 8 March 2021

UNAPENDA NINI UKIWA NASI MTANDAONI?


Kuna wakati, tukiwa mtandaoni; tunatafuta maarifa na taarifa za kuboresha vile tunavyoishi. Leo umefika mahali sahihi.

Emmanuel Online Working Gadgets; kwa kushirikiana na wengine wote tunaofanya nao kazi, kwa ajili yako—ukiwa popote kupitia intaneti, tunatamani kuona unafaidi mambo manne (4) tajwa hapo chini.

Angalia orodha hiyo fupi, kisha chagua jambo husika; kwa kugusa (CLICK) namba zilizowekwa mwishoni.

1. Unapenda kupata maarifa rahisi ya ubunifu wenye soko mtandaoni? 
Kuna maarifa ya ubunifu unaoweza kufanya kwa kutumia smartphone yako, na kuhudumia wateja wa ubunifu huo; waliopo WhatsApp.

2. Unapenda kupata video fupi ya tangazo lako, kwa kutumia picha unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo?

3. Unapenda kujua wapi utapata graphic nzuri kulingana na hitaji lako? Yaani Posters, Logo, Business Card na Label (lebo)?

4. Unapenda kujua, wapi utapata kalenda iliyotengenezwa kwa kuweka picha zako unazotaka?
________
Angalia HAPA [№1]
Angalia HAPA [№2]
Angalia HAPA [№3]
Angalia HAPA [№4]
Karibu sana rafiki.
_________


No comments:

Post a Comment

MAARIFA UNAYOHITAJI (ILI UNUFAIKE) YAPO KWETU.

Rafiki, tumekuwa tukiwauliza watu wengi waliopo WhatsApp; kuhusu  taswira yao ya kiuchumi katika kuitumia WhatsApp—kimaendeleo.  Tuligundua ...