Emmanuel Online Working Gadgets (EO GADGETS) tumetamani kuboresha mambo tunayofanya mtandaoni; kwa ajili ya wale wanaopenda kupata huduma na maarifa ya ubunifu, kutoka kwetu.
________
Tumeweka orodha ya mambo manne (4), na tunakuomba wewe utusaidie katika utafiti wetu huu mdogo (kwa dakika moja tu), kwa kutoa jibu lako fupi sana; yaani kwa kuandika tu namba ya jambo lile UNALOONA linajibu swali hili kwako, kati ya haya (4) yaliyotajwa.
________
SWALI LETU: Ukiwa mtandaoni, mara nyingi umekuwa ukihitaji nini [kati ya haya manne]?
№1: Maarifa ya ubunifu wenye soko mtandaoni.
№2: Video fupi fupi za matangazo yako, kwa kutumia picha unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo.
№3: Kupata Graphic nzuri kulingana na hitaji lako. Yaani Posters, Logo, Business Card na Label (lebo).
№4: Kupata kalenda iliyotengenezwa kwa kuweka picha zako unazotaka.
_________
Tumia namba: kwa mfano; 1 & 2 au 3 au 1&2 [Andika namba tu, ili kuokoa muda pia]. Andika hapo chini eneo la comment au inbox kwetu kwa kufungua HAPA (CLICK HERE).
NB: Tunahitaji tu kujua uwiano wa idadi ya watu wanaovutiwa na jambo fulani.
No comments:
Post a Comment