Emmanuel Online Working Gadgets (EO GADGETS) tunapenda kuwa nawe popote ulipo na kufanikisha mambo haya manne (4)—kupitia intaneti.
________
№1: Tunafundisha maarifa rahisi ya ubunifu (designing) wenye soko mtandaoni. Utapata maarifa ya kutengeneza na kuuza graphics kwa kutumia smartphone, na kuwahudumia wahitaji wake waliopo WhatsApp. Graphics kama: posters, flyers, kalenda, logo rahisi, makava rahisi ya vitabu, business card n.k.
Bei ya mafunzo: Tsh 5,000/-
№2: Tunatengeneza video fupi fupi za matangazo yako, kwa kutumia picha zako unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo. Video zenye audio nzuri nyuma yake.
Bei: Tsh 15,000-35,000.
Angalia HAPA [№2]
№3: Tunatengeneza graphic nzuri kulingana na hitaji lako. Yaani Posters, Logo, Business Card (softcopy) na Label (lebo).
Bei: Tsh 7,000-100,000.
Angalia HAPA [№3]
№4: Tunatengeneza kalenda nzuri ya mwaka 2021, kwa kuweka picha zako unazotaka ziwepo. Unaipata softcopy ya picha yake origino (JPG), unayoweza kui-print popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha).
Bei: Tsh 2,500.
Angalia HAPA [№4]
__________
__________
No comments:
Post a Comment