Monday, 8 March 2021

SWALI LETU LA UTAFITI MDOGO.

Emmanuel Online Working Gadgets (EO GADGETS) tumetamani kuboresha mambo tunayofanya mtandaoni; kwa ajili ya wale wanaopenda kupata huduma na maarifa ya ubunifu, kutoka kwetu.
________
Tumeweka orodha ya mambo manne (4), na tunatamani hata wewe utusaidie katika utafiti huu mdogo (kwa dakika moja tu), kwa kutoa jibu lako fupi sana; yaani kwa kuandika tu namba ya jambo lile UNALOONA linakuvutia kati ya haya (4) yaliyotajwa. 
________
SWALI: Ukiwa mtandaoni, unapenda nini [kati ya haya manne]
№1. Kupata/kuongeza maarifa rahisi ya ubunifu wenye soko mtandaoni.
№2. Kupata video fupi ya tangazo lako, kwa kutumia picha unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo.
№3. Kupata graphic nzuri kulingana na hitaji lako. Yaani Posters, Logo, Business Card na Label (lebo).
№4. Kupata kalenda iliyotengenezwa kwa kuweka picha zako unazotaka.

Pia, ikiwa unapenda zaidi ya jambo moja, andika namba za hayo mambo: kwa mfano; 1 & 2 au 3 au 1&2 [Andika namba tu, ili kuokoa muda pia]. Andika hapo chini eneo la comment au inbox kwetu kwa kufungua HAPA (CLICK HERE).

NB: Tunahitaji tu kujua uwiano wa idadi ya watu wanaovutiwa na jambo fulani.


No comments:

Post a Comment

MAARIFA UNAYOHITAJI (ILI UNUFAIKE) YAPO KWETU.

Rafiki, tumekuwa tukiwauliza watu wengi waliopo WhatsApp; kuhusu  taswira yao ya kiuchumi katika kuitumia WhatsApp—kimaendeleo.  Tuligundua ...