_____________
YALIYOMO KWENYE POST HII:
A. Maswali Mawili Yenye Ufumbuzi.
B. Programu Mbili Za Maarifa Yenye Majibu Ya Maswali Yetu Mawili.
1. Maarifa ya ubunifu wenye soko mtandaoni.2. Njia nzuri ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
_____________
A. MASWALI MAWILI YENYE UFUMBUZI.
Leo nimeona vyema kutoa taarifa kuwa: maswali mawili yamepatiwa ufumbuzi. Maarifa yanayojibu maswali haya, yanatolewa hivi sasa kwa vikundi vya WhatsApp, na kwa kupata vitabu vya PDF na audio zilizorekodiwa (mp3).
Maswali hayo mawili ni:
№1. Ni ubunifu gani rahisi ninaoweza kuufanya kwa smartphone, na nikapata wateja wengi wa ubunifu huo kupitia WhatsApp?
№2. Katika biashara ambayo wateja wake wengine wanatafutwa kwa WhatsApp; ninawezaje kuongeza upatikanaji wa wateja hao, kupitia WhatsApp?
____________
B. PROGRAMU MBILI ZA MAARIFA YENYE MAJIBU YA MASWALI YETU MAWILI.
Majibu ya maswali haya, yanapatikana kwenye programu zetu mbili za maarifa; ambazo ni:
1. MAARIFA YA UBUNIFU WENYE SOKO MTANDAONI.2. NAMNA NZURI YA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KWA WHATSAPP.
Ufafanuzi umetolewa hapa chini.
___________
№1: MAARIFA YA UBUNIFU WENYE SOKO MTANDAONI.
Utaweza kubuni (design) na kuuza graphics nzuri na rahisi kama: posters, kalenda, flyers, makava rahisi ya vitabu, business card na nyingine nyingi (kwa kutumia smartphone). Utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa ubunifu huu (graphics), waliopo WhatsApp.
Maarifa hutolewa kwa WhatsApp, na kwa kupata kitabu cha PDF na audio (mp3) zilizorekodiwa.
BEI:
Tsh 3,500: Unapata kitabu (PDF) audio za vipengele vyote zilizorekodiwa na mwongozo wa kuipata App inayofaa kwa ubunifu huu.
Tsh 5,000: Unapata kitabu (PDF) audio zilizorekodiwa, mwongozo wa kuipata App inayofaa kwa ubunifu huu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp (Simplified Graphic Designing).
°•°•°•° Unaweza kuipata PDF ya utangulizi bure, kupitia WhatsApp kwa kufungua HAPA [Download PDF]
_______________
№2: TUTAONGEZA VIPI WATEJA KUPITIA WHATSAPP?
Fahamu njia mpya ya kukusanya namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga [kwa kutumia lebo (majina-alama) za kukusaidia kwa urahisi] kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—ndani ya muda mfupi.
Fahamu njia ya kuongeza watazamaji wa status zako za biashara—ndani ya muda mfupi.
Fahamu njia nzuri ya kuwafikia watu inbox—ndani ya muda mfupi.
Maarifa hutolewa kwa WhatsApp, na kwa kupata kitabu cha PDF na audio (mp3) zilizorekodiwa.
BEI:
Tsh 4,500: Unapata kitabu (PDF) pekee.
Tsh 9,000: Unapata kitabu (PDF) na audio zake zote.
Tsh 12,000: Unapata kitabu (PDF), audio zote na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sale Via WhatsApp).
°•°•°•° Unaweza kuipata PDF ya utangulizi bure, kupitia WhatsApp kwa kufungua HAPA [Download PDF]
Karibu sana, tunakupenda sana.
+255 743 517 138 (WhatsApp/SMS/Call)