Tuesday, 9 March 2021

MAARIFA UNAYOHITAJI (ILI UNUFAIKE) YAPO KWETU.

Rafiki, tumekuwa tukiwauliza watu wengi waliopo WhatsApp; kuhusu taswira yao ya kiuchumi katika kuitumia WhatsApp—kimaendeleo. Tuligundua kuwa watu wengi walikuwa na maswali mbalimbali yanayohusu 'ni kwa namna gani wanaweza kunufaika zaidi kiuchumi; kupitia WhatsApp.'
_____________
YALIYOMO KWENYE POST HII:
A. Maswali Mawili Yenye Ufumbuzi. 

B. Programu Mbili Za Maarifa Yenye Majibu Ya Maswali Yetu Mawili.
1. Maarifa ya ubunifu wenye soko mtandaoni.
2. Njia nzuri ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
_____________
A. MASWALI MAWILI YENYE UFUMBUZI.
Leo nimeona vyema kutoa taarifa kuwa: maswali mawili yamepatiwa ufumbuzi. Maarifa yanayojibu maswali haya, yanatolewa hivi sasa kwa vikundi vya WhatsApp, na kwa kupata vitabu vya PDF na audio zilizorekodiwa (mp3).

Maswali hayo mawili ni:
№1. Ni ubunifu gani rahisi ninaoweza kuufanya kwa smartphone, na nikapata wateja wengi wa ubunifu huo kupitia WhatsApp?

№2. Katika biashara ambayo wateja wake wengine wanatafutwa kwa WhatsApp; ninawezaje kuongeza upatikanaji wa wateja hao, kupitia WhatsApp?
____________
B. PROGRAMU MBILI ZA MAARIFA YENYE MAJIBU YA MASWALI YETU MAWILI.
Majibu ya maswali haya, yanapatikana kwenye programu zetu mbili za maarifa; ambazo ni:
1. MAARIFA YA UBUNIFU WENYE SOKO MTANDAONI.

2. NAMNA NZURI YA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KWA WHATSAPP.

Ufafanuzi umetolewa hapa chini.
___________
№1: MAARIFA YA UBUNIFU WENYE SOKO MTANDAONI.
Utaweza kubuni (design) na kuuza graphics nzuri na rahisi kama: posters, kalenda, flyers, makava rahisi ya vitabu, business card na nyingine nyingi (kwa kutumia smartphone).  Utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa ubunifu huu (graphics), waliopo WhatsApp.

Maarifa hutolewa kwa WhatsApp, na kwa kupata kitabu cha PDF na audio (mp3) zilizorekodiwa.

BEI:
Tsh 3,500: Unapata kitabu (PDF) audio za vipengele vyote zilizorekodiwa na mwongozo wa kuipata App inayofaa kwa ubunifu huu.
Tsh 5,000: Unapata kitabu (PDF) audio zilizorekodiwa, mwongozo wa kuipata App inayofaa kwa ubunifu huu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp (Simplified Graphic Designing).
°•°•°•° Unaweza kuipata PDF ya utangulizi bure, kupitia WhatsApp kwa kufungua HAPA [Download PDF]
_______________
№2: TUTAONGEZA VIPI WATEJA KUPITIA WHATSAPP?
Fahamu njia mpya ya kukusanya namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga [kwa kutumia lebo (majina-alama) za kukusaidia kwa urahisi] kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—ndani ya muda mfupi.

Fahamu njia ya kuongeza watazamaji wa status zako za biashara—ndani ya muda mfupi.

Fahamu njia nzuri ya kuwafikia watu inbox—ndani ya muda mfupi.

Tsh 4,500: Unapata kitabu (PDF) pekee.
Tsh 9,000: Unapata kitabu (PDF) na  audio zake zote.
Tsh 12,000: Unapata kitabu (PDF), audio zote na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sale Via WhatsApp).

Karibu sana, tunakupenda sana.
+255 743 517 138 (WhatsApp/SMS/Call)

MAARIFA UNAYOHITAJI (ILI UNUFAIKE) YAPO KWETU.

Rafiki yetu, tumekuwa tukiwauliza watu wengi waliopo WhatsApp; kuhusu taswira yao ya kiuchumi katika kuitumia WhatsApp—kimaendeleo. Tumegundua kuwa watu wengi, wamekuwa na maswali mbalimbali yanayohusu 'ni kwa namna gani  wanaweza kunufaika zaidi kiuchumi; kupitia WhatsApp?.'

SWALI LETU LA UTAFITI MDOGO.

Emmanuel Online Working Gadgets (EO GADGETS) tumetamani kuboresha mambo tunayofanya mtandaoni; kwa ajili ya wale wanaopenda kupata huduma na maarifa ya ubunifu, kutoka kwetu.
________
Tumeweka orodha ya mambo manne (4), na tunakuomba wewe utusaidie katika utafiti wetu huu mdogo (kwa dakika moja tu), kwa kutoa jibu lako fupi sana; yaani kwa kuandika tu namba ya jambo lile UNALOONA linajibu swali hili kwako, kati ya haya (4) yaliyotajwa. 
________
SWALI LETU: Ukiwa mtandaoni, mara nyingi umekuwa ukihitaji nini [kati ya haya manne]?
№1: Maarifa ya ubunifu wenye soko mtandaoni.

№2: Video fupi fupi za matangazo yako, kwa kutumia picha unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo.

№3: Kupata Graphic nzuri kulingana na hitaji lako. Yaani Posters, Logo, Business Card na Label (lebo).

№4: Kupata kalenda iliyotengenezwa kwa kuweka picha zako unazotaka.
_________
Tumia namba: kwa mfano; 1 & 2 au 3 au 1&2 [Andika namba tu, ili kuokoa muda pia]Andika hapo chini eneo la comment au inbox kwetu kwa kufungua HAPA (CLICK HERE).

NB: Tunahitaji tu kujua uwiano wa idadi ya watu wanaovutiwa na jambo fulani.

Emmanuel Online Working Gadgets 77.

Emmanuel Online Working Gadgets (EO GADGETS) tunapenda kuwa nawe popote ulipo na kufanikisha mambo haya manne (4)—kupitia intaneti.

________

№1: Tunafundisha maarifa rahisi ya ubunifu (designing) wenye soko mtandaoniUtapata maarifa ya kutengeneza na kuuza graphics kwa kutumia smartphone, na kuwahudumia wahitaji wake waliopo WhatsApp. Graphics kama: posters, flyers, kalenda, logo rahisi, makava rahisi ya vitabu, business card n.k.
Bei ya mafunzo: Tsh 5,000/-
[Angalia posti ya jambo hili kwa kufungua HAPA [№1]

№2: Tunatengeneza video fupi fupi za matangazo yako, kwa kutumia picha zako unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo. Video zenye audio nzuri nyuma yake.
Bei: Tsh 15,000-35,000.
Angalia HAPA [№2]

№3: Tunatengeneza graphic nzuri kulingana na hitaji lako. Yaani Posters, Logo, Business Card (softcopy) na Label (lebo).
Bei: Tsh 7,000-100,000.
Angalia HAPA [№3]

№4: Tunatengeneza kalenda nzuri ya mwaka 2021, kwa kuweka picha zako unazotaka ziwepoUnaipata softcopy ya picha yake origino (JPG), unayoweza kui-print popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha).
Bei: Tsh 2,500.
Angalia HAPA [№4]
__________
Unahitaji lipi kati ya haya manne? Ingia Inbox kwetu kwa kufungua HAPA (CLICK HERE).
__________
Angalia HAPA [№1]
Angalia HAPA [№2]
Angalia HAPA [№3]
Angalia HAPA [№4]

Monday, 8 March 2021

SWALI LETU LA UTAFITI MDOGO.

Emmanuel Online Working Gadgets (EO GADGETS) tumetamani kuboresha mambo tunayofanya mtandaoni; kwa ajili ya wale wanaopenda kupata huduma na maarifa ya ubunifu, kutoka kwetu.
________
Tumeweka orodha ya mambo manne (4), na tunatamani hata wewe utusaidie katika utafiti huu mdogo (kwa dakika moja tu), kwa kutoa jibu lako fupi sana; yaani kwa kuandika tu namba ya jambo lile UNALOONA linakuvutia kati ya haya (4) yaliyotajwa. 
________
SWALI: Ukiwa mtandaoni, unapenda nini [kati ya haya manne]
№1. Kupata/kuongeza maarifa rahisi ya ubunifu wenye soko mtandaoni.
№2. Kupata video fupi ya tangazo lako, kwa kutumia picha unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo.
№3. Kupata graphic nzuri kulingana na hitaji lako. Yaani Posters, Logo, Business Card na Label (lebo).
№4. Kupata kalenda iliyotengenezwa kwa kuweka picha zako unazotaka.

Pia, ikiwa unapenda zaidi ya jambo moja, andika namba za hayo mambo: kwa mfano; 1 & 2 au 3 au 1&2 [Andika namba tu, ili kuokoa muda pia]. Andika hapo chini eneo la comment au inbox kwetu kwa kufungua HAPA (CLICK HERE).

NB: Tunahitaji tu kujua uwiano wa idadi ya watu wanaovutiwa na jambo fulani.

EMMANUEL ONLINE WORKING GADGETS

Kuna wakati, tukiwa mtandaoni; tunatafuta maarifa na taarifa za kuboresha vile tunavyoishi. Leo umefika mahali sahihi.

Emmanuel Online Working Gadgets; kwa kushirikiana na wengine wote tunaofanya nao kazi, kwa ajili yako—ukiwa popote kupitia intaneti, tunatamani kuona unafaidi mambo manne (4) tajwa hapo chini.

Angalia orodha hiyo fupi, kisha chagua jambo husika; kwa kugusa (CLICK) namba zilizowekwa mwishoni.

1. Unapenda kupata maarifa rahisi ya ubunifu wenye soko mtandaoni? 
Kuna maarifa ya ubunifu unaoweza kufanya kwa kutumia smartphone yako, na kuhudumia wateja wa ubunifu huo; waliopo WhatsApp.

2. Unapenda kupata video fupi ya tangazo lako, kwa kutumia picha unazotaka zionekane kwenye tangazo hilo?

3. Unapenda kujua wapi utapata graphic nzuri kulingana na hitaji lako? Yaani Posters, Logo, Business Card na Label (lebo)?

4. Unapenda kujua, wapi utapata kalenda iliyotengenezwa kwa kuweka picha zako unazotaka?
________
Angalia HAPA [№1]
Angalia HAPA [№2]
Angalia HAPA [№3]
Angalia HAPA [№4]
Karibu sana rafiki.
_________

UNAPENDA NINI UKIWA NASI MTANDAONI?

TUNATENGENEZA GRAPHICS UNAZOHITAJI.

Ukiwa popote, kupitia intaneti; unaweza kupata graphic nzuri kati ya hizi nilizotaja hapa chini, kupitia wabunifu wazuri tunaofanya nao kazi za ubunifu huu:
1. Posters.
2. Business card (softcopy).
3. Label (lebo)
4. Logo za aina tofauti tofauti na
5. Banner.
Inahitaji graphic ipi kati ya hizi?
Ikiwa unatumia WhatsApp, ingia Inbox kwetu kwa kugusa HAPA [CLICK HERE~INBOX DOOR].

MAARIFA UNAYOHITAJI (ILI UNUFAIKE) YAPO KWETU.

Rafiki, tumekuwa tukiwauliza watu wengi waliopo WhatsApp; kuhusu  taswira yao ya kiuchumi katika kuitumia WhatsApp—kimaendeleo.  Tuligundua ...